MUHIDIN MICHUZI
MUHIDIN MICHUZI
  • 1 295
  • 16 791 638

Відео

UN RESIDENT COORDINATOR IN TANZANIA ZLATAN MILISIC SPEAKING
Переглядів 8810 місяців тому
UN Resident Coordinator for the United Republic of Tanzania Zlatan Milisic speaks during a UN Day Commemoration's pre-activity at the Sahara Venture offices in Dar es salaam today October 23, 2023.
RAIS SAMIA KATIKA DOHA INTERNATIONAL HORTICULTURE EXPOS 2023
Переглядів 1,7 тис.10 місяців тому
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar Inbox
HOTUBA YA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA
Переглядів 123Рік тому
HOTUBA YA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUNI 8, 2023
SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAFANYA MAGEUZI MAKUBWA YA UENDESHAJI WA SHIRIKA LA MAWASILIANO (TTCL)
Переглядів 113Рік тому
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye Shirika hilo. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amezungumza hayo leo Aprili 17, 2023 jijini Dodom...
KISHAPU MKOANI SHINYANGA WAANZA UPANDIKIZAJI WA SAMAKI ELFU 12 BWAWA LA MHUMBU.
Переглядів 82Рік тому
Katika kuongeza zao la samaki nchini wilaya ya kishapu mkoani Shinyanga imeanza zoezi la upandikizaji wa samaki (12,0000) aina ya sato, katika bwawa la mhumbu kata ya Somgwa wilayani humo Kaimu Mkurugenzi halimashauri ya wilaya ya kishapu Sabiusi Chaula amesema kupitia bajeti ya mwaka 2022-2023 wameweza kununua vifaranga vya samaki elfu 12 ili kuwawezezesha wavuvi kuendelea kujipatia kipato. Ak...
SLOVAKIA YATOA RAI KWA WAFANYABIASHARA TANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIBIASHARA NA NCHI HIO
Переглядів 134Рік тому
Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Slovakia nchini Tanzania Mhe.Moustafa Khataw ametoa wito kwa wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa kwa kushirikiana na wenzao wa nchi hiyo ambao wameonesha nia ya dhati ya kutaka kuwekeza Pamoja kufanya biashara na Tanzania. Mhe. Khataw ameyasema hayo katika mahojiano maalumu wakati wa kongamano la uwekezaji na biashara la Umoja wa Nchi za Ulaya lililofa...
KATA YA MUGHANGA MANISPAA YA SINGIDA YAFANIKISHA PROGRAMU YA CHAKULA SHULENI
Переглядів 55Рік тому
Kata ya Mughanga katika Manispaa ya Singida imefanikisha programu ya utoaji chakula, kwa shule za msingi na sekondari zilizopo katika kata hiyo. Mtendaji wa Kata ya Mughanga Bi. Futari Shauri amesema kuwa, kupitia ofisi ya Kata hiyo, tayari vikao vya kuwaelimisha wazazi na walezi, vimefanyika kwa ajili ya kuanza utekelezaji wake. Mtendaji huyo amesema kuwa, wazazi na walezi kwa kauli moja wamek...
ONESHO LA MAQUIS ORIGINAL RE-UNION LILIVYOFANA ROYAL VILLAGE HOTEL JIJNI DODOMA
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
Wanamuziki nguli wanaounda kundi la Maquis Original wakitumbuiza katika onesho lao la Re-Union ukumbi wa Ngalawa katika hoteli ya Royal Village jijini Dodoma Ijumaa January 28, 2023
MTENDAJI WA KIJIJI AFUKUZWA KAZI KWA KUGEUZA OFISI YA SERIKALI NYUMBA YA KUFANYIA MAPENZI
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro FATMA MWASA ameliagiza baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoani humo kuondolewa kazini Afisa mtendaji wa Kijiji cha Mbigili kata ya Mbigili Wilayani humo kwa tuhuma za kugeza Ofisi ya serikali kama Nyuma ya kufanyia mapenzi, kuhamisha fedha kutoka akaunti ya serikali kwenda kwa mpenzi wake wanje ya ndoa huku akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria. Mku...
MHE RAIS DKT SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA VIONGOZI
Переглядів 196Рік тому
MHE RAIS DKT SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA VIONGOZI
HOTUBA KAMILI YA MHE RAIS DKT. SAMIA AKIRUHUSU MIKUTANO YA HADHARA
Переглядів 172Рік тому
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa vyama vyote 19 vya siasa vyenye usajili rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 3, 2023. Kubwa katika yote ni Rais kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara
YANGA YAAPA KUENDELEZA UBABE MBELE YA MTIBWA SUGAR LEO MANUNGU TURIANI
Переглядів 499Рік тому
Timu ya YANGA SC imeapa kuendeleza ubabe wa kjuondoka na alama tatu muhimu mbele ya timu ya MTIBWA SUGAR katika mchezo wao unaotarajiwa kutimua vumbi desema 31 mwaka huu katika dimba la Manungu Turiani majira ya saa kumi za jioni. Wakizungumza na waandishi wa habari viongozi wa timu wamesema wanawaheshimu Mtibwa kwa kuwa ni timu kongwe, na kusisitiza iwe jua iwe mvua lazima alama tatu muhimu zi...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA AGRA JIJINI WASHINGTON DC NCHINI MAREKANI LEO
Переглядів 804Рік тому
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE MKUTANO WA MAPINDUZI YA KIJANI BARANI AFRIKA(ALLIANCE FOR A GREEN REVOLUTION IN AFRICA- AGRA) ULIOFANYIKA JIJINI WASHINGTON DC MAREKANI LEO
T-PESA WAZINDUA HUDUMA ZA BIMA, TIRA YAIPONGEZA KURAHISISHA HUDUMA
Переглядів 82Рік тому
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima nchini Tanzania (TIRA), imeipongeza Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) T-Pesa kwa kuanzisha huduma za bima mbalimbali ijulikanayo kama Bima ya T-Pesa kupitia mtandao wa simu za mkononi. Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kamishna wa TIRA, Dk. Baghayo Saqware alipokuwa akizinduwa rasmi huduma ya Bima ya T-Pesa inayoto...
SERIKALI YAANZA ZOEZI LA UWEKAJI MPAKA WA KUDUMU KATIKA MSITU WA HIFADHI YA KUNI MOROGORO
Переглядів 138Рік тому
SERIKALI YAANZA ZOEZI LA UWEKAJI MPAKA WA KUDUMU KATIKA MSITU WA HIFADHI YA KUNI MOROGORO
SHAMRASHAMRA ZA DURU YA TANO YA MAHAFALI YA 52 CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Переглядів 446Рік тому
SHAMRASHAMRA ZA DURU YA TANO YA MAHAFALI YA 52 CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
SAKATA LA BOMOA BOMOA MOROGORO, ZOEZI LASITISHWA KUPISHA MAZUNGUMZO
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
SAKATA LA BOMOA BOMOA MOROGORO, ZOEZI LASITISHWA KUPISHA MAZUNGUMZO
HOTUBA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MKUTANO WA COP 27 MISRI
Переглядів 902Рік тому
HOTUBA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MKUTANO WA COP 27 MISRI
USUGU WA DAWA UNAVYOONGEZA TATIZO KWA WAGONJWA WA VVU
Переглядів 57Рік тому
USUGU WA DAWA UNAVYOONGEZA TATIZO KWA WAGONJWA WA VVU
DC KINONDONI AHAMASISHA USAFI WA FUKWE, AWAASA KUFANYA USAFI KILA JUMAMOSI
Переглядів 39Рік тому
DC KINONDONI AHAMASISHA USAFI WA FUKWE, AWAASA KUFANYA USAFI KILA JUMAMOSI
WANANCHI TEMEKE WAJITOKEZA KUPIMA AFYA, WADAU WAZUNGUMZA HAYA
Переглядів 49Рік тому
WANANCHI TEMEKE WAJITOKEZA KUPIMA AFYA, WADAU WAZUNGUMZA HAYA
WANANCHI TEMEKE WAMIMINIKA KUPIMA AFYA, WADAU WANENA
Переглядів 146Рік тому
WANANCHI TEMEKE WAMIMINIKA KUPIMA AFYA, WADAU WANENA
BARAZA LA NIMR WATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ASILI MABIBO WAIPONGEZA SERIKALI KWA UWEKEZAJI
Переглядів 650Рік тому
BARAZA LA NIMR WATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ASILI MABIBO WAIPONGEZA SERIKALI KWA UWEKEZAJI
WIZARA YA ARDHI YABAINI VYANZO VIKUU NANE VYA MIGOGORO YA ARDHI, YAJIPANGA KUITATUA
Переглядів 338Рік тому
WIZARA YA ARDHI YABAINI VYANZO VIKUU NANE VYA MIGOGORO YA ARDHI, YAJIPANGA KUITATUA
KITWANGA ATOA YA MOYONI, CHUNGU TAMU ZA TOZO, AISHAURI SERIKALI KUANGALIA VYANZO VIPYA VYA MAPATO
Переглядів 66 тис.Рік тому
KITWANGA ATOA YA MOYONI, CHUNGU TAMU ZA TOZO, AISHAURI SERIKALI KUANGALIA VYANZO VIPYA VYA MAPATO
HOSPITALI YA TEMEKE KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA KIBINGWA BILA MALIPO SEPTEMBA 9-11,2022
Переглядів 1012 роки тому
HOSPITALI YA TEMEKE KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA KIBINGWA BILA MALIPO SEPTEMBA 9-11,2022
Baraza la Mawaziri SADC waidhinisha Mtanzania, kuwa Mkurugenzi wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama
Переглядів 772 роки тому
Baraza la Mawaziri SADC waidhinisha Mtanzania, kuwa Mkurugenzi wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama
IGP WAMBURA AWAONDOA WASIWASI WANANCHI KUWA KESI NYINGI UPELELEZI WAKE UMEKAMILIKA
Переглядів 1692 роки тому
IGP WAMBURA AWAONDOA WASIWASI WANANCHI KUWA KESI NYINGI UPELELEZI WAKE UMEKAMILIKA
SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AIPONGEZA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)
Переглядів 452 роки тому
SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AIPONGEZA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)

КОМЕНТАРІ

  • @oswaldliberatus207
    @oswaldliberatus207 16 годин тому

    Daa😂

  • @mushfiqurstravelling6021
    @mushfiqurstravelling6021 7 днів тому

    She is a Muslim?

  • @mbonekemwampasi2509
    @mbonekemwampasi2509 11 днів тому

    Hongera kiongozi wetu,ila hapo umetaja Tanganyika na Zanzibar na tunasherekea miaka 50 ya Tanganyika, sasa Tanganyika mbona haipo na haitajwi?

  • @user-mo1ui4qm7x
    @user-mo1ui4qm7x 11 днів тому

    Tuleteeeni mjini shule na wa kukosa ni wa kukosa

  • @user-hd4gd1wv5l
    @user-hd4gd1wv5l 25 днів тому

    REST IN PEACE BROTHER 😢😢😢😢😢

  • @Hyvett
    @Hyvett 28 днів тому

    I miss you kanumba😢

  • @MancobaSimelane
    @MancobaSimelane Місяць тому

    😅

  • @SolomonSamida
    @SolomonSamida 2 місяці тому

    Dah😢

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 2 місяці тому

    Obama alikua anaona kabisa kuwa hawa masikini wanataka hela zangu😂😂

  • @wilsonssozi8003
    @wilsonssozi8003 2 місяці тому

    What is the relationship between the Haya people and kiziba people someone to help me please am tracing my origin😢

  • @theharryexperience_
    @theharryexperience_ 2 місяці тому

    Thia me watching my friend after 13 years 😅😅😅😅

  • @amosimbembela8504
    @amosimbembela8504 3 місяці тому

    Nzur

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 3 місяці тому

    Smart English spoken by our retired president Jakaya kikwete

  • @RamadhaniJumanne-df7jv
    @RamadhaniJumanne-df7jv 3 місяці тому

    Ina uma sana

  • @stephenomondi4580
    @stephenomondi4580 3 місяці тому

    😢😢😢

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 3 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mzungumsauzonlin2624
    @mzungumsauzonlin2624 3 місяці тому

    Nzuri

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 місяці тому

    Ila hii dunia hii

  • @lyimovisualmedia2292
    @lyimovisualmedia2292 3 місяці тому

    Kwa mara ya kwanza nausikia huu wimbo ni kutoka kwa mzee wangu Wazalendo haswa hawa

  • @marcelcmagessa7130
    @marcelcmagessa7130 3 місяці тому

    ❤ love much my country Tanzania by peace and quiet Love

  • @neb98
    @neb98 3 місяці тому

    Es la leyenda del águila gigante??

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 3 місяці тому

    Napenda Sana hii gwaride najikuta nafurahi Tu I love my country 🇹🇿🇹🇿

  • @benodiero4544
    @benodiero4544 4 місяці тому

    Kenya Hawa wanajifanya tu, one time twende on one to one combat ndo JW iwatie adabu hata vikundi vidogo vidogo wanashindwa hata kuwadhibiti et KDF they only know how to looting properties Kumbukeni west gate 😂😂😂

  • @mudylivigha521
    @mudylivigha521 4 місяці тому

    Hiii ndo pared bora kabisa la muda woteeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-eh5fw5gj4c
    @user-eh5fw5gj4c 4 місяці тому

    2024

  • @rosemarywaweru7926
    @rosemarywaweru7926 4 місяці тому

    Hadi wanshindwa kunyosha miguru...😂

  • @rosemarywaweru7926
    @rosemarywaweru7926 4 місяці тому

    Hapa hakuna marching kelele tu😂

  • @user-sx4oy3hr5z
    @user-sx4oy3hr5z 4 місяці тому

    الاهم اغفر لها وارحمها وعافها واعفوعنها I really like his religious songs and also his unique voice, I hope he gets Allah's forgiveness🥺🥺🤲🤲🤲 greetings from Indonesia

  • @eugenesullah9324
    @eugenesullah9324 4 місяці тому

    033 seconds band song title please??

  • @sydneymathuka4228
    @sydneymathuka4228 5 місяців тому

    I am working

  • @sydneymathuka4228
    @sydneymathuka4228 5 місяців тому

    Ok

  • @sydneymathuka4228
    @sydneymathuka4228 5 місяців тому

    Wear suits

  • @sydneymathuka4228
    @sydneymathuka4228 5 місяців тому

    Wear very well i know you love the clothes it is like you are not wearing anything

  • @sydneymathuka4228
    @sydneymathuka4228 5 місяців тому

    I want to stay here

  • @DRMANYAUNYAUTV
    @DRMANYAUNYAUTV 5 місяців тому

    Kitambo sana❤

  • @betovenmoza6726
    @betovenmoza6726 5 місяців тому

    Obama worked for Israel, France and USA.

  • @betovenmoza6726
    @betovenmoza6726 5 місяців тому

    Obama will be arrested and judged in Black Africa. He killed too much Africans.

  • @user-uq2mo7mw2l
    @user-uq2mo7mw2l 5 місяців тому

    Naiangalia 3/2024

  • @NyongesaNdege-xt8ip
    @NyongesaNdege-xt8ip 5 місяців тому

    Atakama ulienda na respect you bro shine heaven we miss your move rest in peace from kenya

  • @degwaboy8128
    @degwaboy8128 6 місяців тому

    Mwamba STONE Allah akurehem

  • @thevibrantafrica
    @thevibrantafrica 6 місяців тому

    This dance is fascinating to watch. Love it!

  • @saeedally268
    @saeedally268 6 місяців тому

    Kazi kazi

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 6 місяців тому

    Kwa mara ya kwanza nili usikia huu wimbo kwa mama yangu. kijana wa TANU wa zamani alie soma miaka ya sabini full uzalendo

  • @user-qz4bq4fg3f
    @user-qz4bq4fg3f 6 місяців тому

    Nice one Roy

  • @kalokolamulumbe8445
    @kalokolamulumbe8445 6 місяців тому

    Yaya nn😅

  • @user-eg2wk4xx3h
    @user-eg2wk4xx3h 6 місяців тому

    Wapi mwandishi Michuzi

  • @NeemaMkopi
    @NeemaMkopi 6 місяців тому

    2024

  • @gmziwandanation555
    @gmziwandanation555 6 місяців тому

    Bado naangalia 2024😢😢

  • @valentinavalentine8188
    @valentinavalentine8188 6 місяців тому

    ❤❤❤

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 6 місяців тому

    Mungu wetu ni mwaminifu